Kiongozi
wa bendi ya Msondo, Saidi Mabela (kulia) akimkabidhi Saxaphone msanii
mpya wa bendi hiyo Shabani Lendi Dar es Salaam jana, baada ya kuingia
mkataba wa miaka miwili akitokea bendi ya Sikinde katikati ni Meneja wa
bendi hiyo Saidi Kibiliti.(Picha na www.burudan.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment