Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akitoa
maelezo ya kazi baada ya kukagua chanzo cha maji - Kibirizi katika
Manispaa ya Kigoma
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Dk. Terezya Huvisa
akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugezi wa Manispaa ya Kigoma Bw.
Protus Kato juu ya jitihada zinazofanywa na Manispaa hiyo kukusanya
taka katika soko la Nazareti. Waziri Huvisa alifanya ziara ya
kushtukiza katika Manispaa hiyo kuangalia hifadhi ya Mazingira.Picha na
Ali Meja
No comments:
Post a Comment