WAZIRI MKUU PINDA AKIWA KISHAPU MKOANI SHINYANGA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama jiko banifu kwenye jiko la shule
ya sekondari ya Kishapu akiwa katika ziara ya mkoa wa Februari 23, 2012.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kishapu wakicheza ngoma wakati
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofungua jengo la Halmashauri ya Wilaya
ya Kishapu akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 23, 2012.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment