MKUTANO WA NHIF NA WADAU MKOANI LINDI
Mwenyekiti
wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima y Afya Deogratius Ntunkamazina
akisisitiza umuhimu wa kuutumia Mfuko huo kwa manufaa ya Watanzania
wote kwenye Mkutano wa wadau uliofanyika mkoani Lindi.
Kikundi cha waendesha pikipiki wakiwa wamesimama wakisubiri kupokea kadi zao za matibabu.(PICHA ZOTE NA GRACE MICHAEL)
No comments:
Post a Comment