Header Ads

    MATUKIO YA PICHA KATIKA ZIARA YA    WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA BARIADI  NA MASWA MKOANI SHINYANGA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakicheza ngoma ya Watemi wa Kisukuma baada kupewa heshima ya kuwa Mtemi Masanja na Mkewe kuwa Ngole kwenye uwanja wa michezo wa Maswa wakiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 20, 2012. Wanne kushoto ni Mtemi Majebele ambaye ndiye alimpa heshima hiyo.   
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakicheza ngoma ya Watemi wa Kisukuma baada kupewa heshima ya kuwa Mtemi Masanja na Mkewe kuwa Ngole kwenye uwanja wa michezo wa Maswa wakiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 20, 2012. Kushoto ni Mtemi Majebele ambaye ndiye alimpa heshima hiyo.   
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakimshukuru Mtembi Majebele baada ya kupewa heshimi ya Kuwa Mtemi Masanja na mkewe kuwa Ngole katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa michezo wa Maswa Februari 20, 2012. Walikuwa kwenye ziara ya mkoa wa Shinyanga.   
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua tawi la Benki ya CRDB la Bariadi akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 21, 2012.  
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua tawi la Benki ya CRDB nla Bariadi baada ya kulifungua Februari 21, 2012.. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga.  
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea hundi ya 5,000,000/= kutokwa Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRD, Tuli Mwambapa baada ya kufungua tawi la Benki hiyola Bariadi Februari 21m 2012. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga. (Picha na Ofisi ya Waiziri Mkuu)

No comments:

Powered by Blogger.