Header Ads

 Hatima ya  ugomvi wa mdau Ruge Mutahaba na Mbunge wa jimbo la Mbeya kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) umemalizika baada ya kufanyika kwa vikao mbali mbali chini ya Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, John Nchimbi na Mbunge Tundu Lisu.
 Hatima ya vikao hivyo vimeleta tumaini katika tasnia ya burudani kwani ule ugomvi wa maneno makali na bifu katika muziki wa kizazi kipya hautakuepo tena mara tutasikia nyimbo za vinega zikipigwa tena Clouds Radio na tv...bifu kwishneyi.

No comments:

Powered by Blogger.