Header Ads

Nimepokea taarifa kuwa Comrade Renatus Mkingah, a.k.a Mkinga Mkinga Mwanaharakati machachari na hodari, msemaji asiyeogopa, mtunza ushahidi asiyebabaika,

Amelazwa Hosipitalini Muhimbili - kibasila 1st Floor Wodi namba 11 kitanda namba 25. Kidole gumba kimeoza kwa sababu ya diabetes [kisukari] kwa hiyo kinatakiwa kuwa amputated[kukatwa]
Anahitaji msaada wa hali, mali na sala.

Tafaadhalini wanabidii tumsaidie. tunaoweza tumtembelee.
namba yake ni 0642644946 - waweza kumpigia ukimfariji au ukatumbukiza kitu kwenye hiyo tigo Pesa.

Kind regards
Sungusia
---------------






ALI KIBA, ROMA, EXTRA BONGO, JAHAZI NA ‘KINA RIHANNA’ WALIVYOTIKISA DAR LIVE JANA


Ali Kiba akiwa jukwaani.
Akiwatia mori mashabiki wake.
Msanii wa Hip Hop, ‘Roma’, akipagawisha mashabiki.
Muimbaji Rama Pentagon akiwa kazini.
Mzee Yusuf akitoa burudani.
Msanii chipukizi Dogo Lila akipagawisha kwa mashabiki zake.
Akiwa na mdogo wake, Abdul Kiba (kushoto).
…Akionyesha uwezo wa kucheza na wacheza kiduku wake.
Kiongozi wa Extra Bongo, Ally Choki (katikati), akiongoza safu ya waimbaji.
Mpiga drums wa bendi hiyo James Kibosho akiwajibika.
Mmoja wa washiriki wa shindano la ‘Cheza, Vaa, Imba Kama Rihanna’ akiwania kufuzu fainali ya shindano hilo.
Wanenguaji wa bendi wakionyesha uwezo wao.
Mwalimu wa ‘kina Rihanna’ akiwa na wanafunzi wake.
Waimbaji wa Jahazi Modern Taarab, wakiwajibika.
Washiriki ‘Kumi Bora’ wakiwa katika pozi baada ya kufuzu.
---
MAKAMUZI ya wanamuziki Ali Kiba’ Ibrahim Mussa ‘Roma’ na Bendi ya Extra Bongo ‘Next Level’, Jahazi Modern Taarab, Dogo Lila na shindano la ‘ Vaa, Imba na Cheza Kama Rihanna’, usiku wa kuamkia leo wametikisa vilivyo katika kituo cha burudani cha Dar Live.

No comments:

Powered by Blogger.