WANANCHI WA SEGEREA WATINGA MAHAKAMA YA ARIDHI LEO JIJINI DAR ES SALAAM.
Naibu
Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akizungumza na waandishi
hawapo pichani mara baada ya kutoka Mahakama Kuu kitengo cha Ardhi
kusikiliza ombi la kibali cha kufungua kesi ya kupinga ubomoaji wa
nyumba za wananchi wa segerea leo jijini Dar es Salaam, ,kesi hiyo
imearishwa na Jaji Fredrica Mgaya kutokana na wakili serikali kupatwa
msiba na itasikilizwa tena Machi 8 mwaka huu katika mahakama hiyo.
Wananchi
wa segerea wakiwasilikiliza viongozi wao Mahakama Kuu kitengo cha Ardhi
waliofika kusikiliza ombi la kibali cha kufungua kesi ya kupinga
ubomoaji wa nyumba za wananchi wa segerea leo jijini Dar es Salaam,.kesi
hiyo imearishwa na Jaji Fredrica Mgaya kutokana na wakili serikali
kupatwa msiba na itasikilizwa tena Machi 8 mwaka huu katika mahakama
hiyo.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Globul ya jamii)
No comments:
Post a Comment