WAKALA YA SERIKALI MTANDAO YAZISHAURI TAASISI ZA SERIKALI KUFUATA MIONGOZO NA VIWANGO KATIKA MATUMIZI YA TEHAMA.

Meneja
wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Wakala ya Serikali Mtandao Bi. Suzan
Mshakangoto akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari kuhusu taratibu
zinazotakiwa kuzingatiwa na taasisi za Serikali katika kuimarisha
matumizi sahihi na salama ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika
kuendesha mifumo ya Tehama Serikalini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Usimizi
wa Huduma za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa Wakala hiyo.

Mkurugenzi
wa Usimamizi wa Huduma za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa Wakala
hiyo Bw. Benedict Ndomba akifafanua kuhusu mpango wa Serikali wa
kuimarisha mawasiliano katika mifumo ya TEHAMA Serikalini.

Waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano huo.
No comments:
Post a Comment