UUZAJI WA TIKEKI ZA UWANJANI KWA MFUMO WA ELEKRONIKI KUANZA KUTUMIKA

Kaimu
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Makoye Alex Nkenyenge akizungumza wakati wa kikao baina
ya Wizara, TFF na Kampuni ya MaxCom kuhusu matumizi ya mfumo wa
Kielektroniki katka ukataji Tiketi kwa ajili ya kuingilia wakati wa
mechi mbalimbali jana jijini Dar es Salaam. Mkakati huo ni utekelezaji
wa agizo la Mhe. Waziri Mkuu alilolitoa wakati akiongea na wadau wa
michezo hivi karibuni.

Mwakilishi
wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Boniphace Wambura (kulia) akichangia hoja
wakati wa kikao baina ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
TFF pamoja na Kampuni ya MaxCom ili kujadili kuhusu uanzishwaji wa
matumizi ya mfumo wa Kielektroniki katika ukataji Tiketi kwa ajili ya
kuingilia wakati wa mechi mbalimbali leo jijini Dar es Salaam. Mkakati
huo ni utekelezaji wa agizo la Mhe. Waziri Mkuu alilolitoa wakati
akiongea na wadau wa michezo hivi karibuni.Kushoto ni Afisa Tehama wa
wizara hiyo Nuru Bakari.

Mwakilishi
wa Kampuni ya MaxCom Deogratius Lazaro (katikati) akifafanua jambo
wakati wa kikao baina ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
TFF pamoja na Kampuni ya MaxCom ili kujadili kuhusu uanzishwaji wa
matumizi ya mfumo wa Kielektroniki katika ukataji Tiketi kwa ajili ya
kuingilia uwajnjjani wakati wa mechi mbalimbali leo jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Muhasibu wa TFF Daniel Msangi na kulia ni Mwakilishi
mwenza wa MaxCom Erick Charles.

Mwakilishi
wa Kampuni ya MaxCom Erick Charles (wapili kutoka kulia) akifafanua
jambo wakati wa kikao baina ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, TFF pamoja na Kampuni ya MaxCom ili kujadili kuhusu uanzishwaji
wa matumizi ya mfumo wa Kielektroniki katika ukataji Tiketi kwa ajili
ya kuingilia uwajnjjani wakati wa mechi mbalimbali leo jijini Dar es
Salaam. Kutoka kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Ugavi na Ununuzi wa Wizara
ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Cecilia Kasonga, Mwakilishi
wa Kampuni ya MaxCom Deogratius Lazaro na Muhasibu wa TFF Daniel
Msangi.

Baadhi
ya wajumbe wa kikao cha kujjadili namna ya kuanza kwa matumizi ya mfumo
wa Elekroniki katika ukataji wa tiketi za kuingilia uwanjani kwenye
mechi mbalimbali. Kikao hicho kimejumuisha wajumbe kutoka Wizara ya
Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo,TFF na Kampuni ya MaxCom ambao ndiyo
wataalamu wa kuendesha mfumo huu.

No comments:
Post a Comment