NAIBU WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO MHE. ANASTAZIA WAMBURA AZIDI KUPOKEA MICHANGO YA TIMU YA TWIGA STARS

Mhasibu
wa Wizara ya Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Godfrey Osmund
akimweleza Naibu waziri wa wizara hiyo Mhe. Anastazia Wambura jinsi
atakavyozikatia risiti fedha ambazo wadau wa michezo wamezitoa kwa ajili
ya kuichangia Timu ya Taifa ya wanawake ya Mpira wa miguu ya Twiga
Stars.

Naibu
Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura
akimkabidhi leo Mhasibu wa wizara hiyo Godfrey Osmund shilingi milioni
mbili zilizotolewa na Mohammed Dewji kwaajili ya kuisaidia timu ya Taifa
ya wanawake ya mpira wa miguu ya Twiga Stars. Hadi sasa wadau wa
michezo wameshaichangia timu hiyo shilingi milioni 17.Picha na Anna
Nkinda
No comments:
Post a Comment