WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI MHE. WILLIAM LUKUVI AWAAGIZA VIONGOZI KULINDA MAENEO YA WAZI
Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi kizungumza na
Madiwani na Wenyekiti wa Serikali za Mitaa (hawapo pichani) juu ya
kuwawezesha viongozi katika ngazi ya Mitaa kusimamia na kulinda maeneo
ya wazi ,miundombinu na maeneo mengine ya umma.( Katikati) ni Mkuu wa
Wilaya ya Ilala Raymond Mushi na kulia ni Mkurugenzi wa Mipango Miji na
Vijiji Profesa.John Lupala
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwaonesha Ramani Madiwani na Wenyekiti wa Serikali za Mitaa
Sehem ya Madiwani na Wenyekiti wa Serikali za Mitaa wakiwa katika mkutanohu uklio fanyika jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii)
No comments:
Post a Comment