RAIS WA ZANZIBAR DR ALI SHEIN AKABIDHIWA TUNZO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akipokea Tunzo ya dhahabu iliyopewa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar kutoka kwa Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana na
Watoto Bibi Zainab Omar Mohamed ( Gold Future Policy Award ) kwa mwaka 2015) ambayo imetolewa na Taasisi ya kimataifa ya World Future Council katika
Mji wa Geneva Uswizi tarehe 20 Oktoba, 2015 baada ya Sheria ya Watoto
ya Zanzibar ya Mwaka 2011 kuzishinda sheria za Nchi nyingine zaidi ya 20
kwa kukidhi vigezo vilivyoshindaniwa,hafla ya makabidhiano hayo
ilifanyika leo Mjini Unguja,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akiiangalia Tunzo ya dhahabu iliyopewa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi
wa Jamii, Vijana na Watoto Bibi Zainab Omar Mohamed ( Gold Future Policy Award ) kwa mwaka 2015) ambayo imetolewa na Taasisi ya kimataifa ya World Future Council katika
Mji wa Geneva Uswizi tarehe 20 Oktoba, 2015 baada ya Sheria ya Watoto
ya Zanzibar ya Mwaka 2011 kuzishinda sheria za Nchi nyingine zaidi ya 20
kwa kukidhi vigezo vilivyoshindaniwa,hafla ya makabidhiano hayo
ilifanyika leo Mjini Unguja,Picha na Ikulu.
|
|
|
No comments:
Post a Comment