MWENYEKITI WA CCM NA RAIS MSTAAFU DK JAKAYA KIKWETE AENDELEA NA KAZI YA KUIMARISHA CHAMA

Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Katibu Wa
Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi, Ndugu Nape Nnauye na Katibu wa
Halmashauri Kuu Oganaizesheni Ndg Mohamed Seif Hatibu katika ofisi yake
Makao Makuu ya CCM, ofisi ndogo ya Lumumba jijini Dar es salaam, leo
tarehe 26th Nov 2015.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizngumza na Mwenyekiti wa CCM
Kata ya Kimnyaki Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha alipofika kumtembelea
ofisini kwake Makao Makuu ya CCM, ofisi ndogo za Lumumba Jijini Dar es
salaam leo tar 26th Nov 2015.

Mlemavu wa Viungo Ndugu Elias Ismail Mollel kutoka Arusha akisalimiana
na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa akitoka ofisini
kwake, Makao Makuu ya CCM, Lumumba - Dar es salaam jioni ya leo tarehe
26th Nov 2015,

Mwenyekiti wa CCM na Rais Msataafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mlemavu wa miguu Ndg
Mashishanga Masanja kutoka Nzega alipokuwa akitoka ofisini kwake Lumumba
Jijini Dar es salaam.

Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwanasheria
wa CCM Ndg Godwin Kunambi nje ya Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM
Lumumba Jijini Dar es salaam, leo tarehe 26th Nov 2015.Picha na Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM
Lumumba
No comments:
Post a Comment