Header Ads

Home Clouds FM Live post-feature-image Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimwonyesha orodha ya makontena 349 yenye kodi ya serikali ya thamani ya shilingi bilioni 80 yaliyotoka kwenye bandari ya Dar es salaam bila kulipiwa kondi, Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania , Rished Bade

post-feature-image
 
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akimwonyesha orodha ya makontena 349 yenye kodi ya serikali ya thamani ya shilingi bilioni 80 yaliyotoka kwenye bandari ya Dar es salaam bila kulipiwa kondi, Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania , Rished Bade wakati alipotaka maelezo kuhusu upotevu  wa makontena hayo, bandarini jijini Dar es slaam Novemba 27, 2015.
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akimkabidhi Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade orodha ya makontena  349 yenye kodi ya serikali ya thamani ya  shilingi bilioni 800 yalitoka kwenye bandari ya Dar es salaam bila kulipiwa kodi. Mheshimiwa Majaliwa alikwenda kwenye bandari ya Dar es salaam Novemba 27, 2015 kutaka maelezo kuhusu kupotea kwa makontena hayo.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu



No comments:

Powered by Blogger.