Header Ads

MDAU MKUBWA WA KUHAMASISHA WANANCHI KUHUSIANA NA SUALA LA KUZUIA AJALI BARABARANI‏


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia kwaniaba ya kampuni yake kwakuwa mdau mkubwa wa kuhamasisha wananchi kuhusiana na suala la kuzuia ajali barabarani.Makabidhiano hayo yalifanyika katika uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama iliyomalizika hivi karibuni mjini Tanga.

No comments:

Powered by Blogger.