Maalim SEIF akutana na Viongozi wa CUF – ZANZIBAR
Viongozi wa CUF pamoja na wagombea uwakilishi na ubunge wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad wakati akihutubia kwenye ukumbi wa Majid Kiembesamaki. |
Kaimu
Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Ismail Jussa Ladhu, akinukuu baadhi
ya vifungu vya katiba ya chama hicho vilivyoipa uhalali Kamati tendaji
ya chama hicho Taifa kufanya uteuzi ya wagombea katika majimbo
yaliyoongezwa kulingana na hali halisi ilivyokuwa.
No comments:
Post a Comment