KAMPUNI YAAFRICAN LIFE ASSURENCE YABADILISHA JINARSNI KUWA SANLAM LIFE
Mgeni
rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof Mkenda Akiwa na
Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam life Insurance Ndg.Julius
Magabe Tayari kwa Uzinduzi wa Kampuni ya Sanlan.
Mtendaji
Mkuu wa umoja wa makampuni ya Sanlam.Ndugu.Ian Kirk..Israel Kamuzora,
Kamishna wa Bima katika Mamlaka ya Bima Tanzania (TIRA) Mara baada
Uzinduzi wa wa Kampuni ya Sanlan wakionyesha Mshikamano.
Kampuni inayoongoza katika bima za maisha nchini, African life .
Assurance(Aflife) jana usiku wa Agosti 12, 2015 ilitangaza rasmi Kubadilisha jina lake la kibiashara na kuwa Sanlam Life Insurance ambayo ni Kampuni ya kimataifa ya huduma za kifedha yenye makao yake makuu Afrika ya Kusini, ambayo imekuwa na umiliki mkubwa zaidi wa hisa za kampuni hiyo tangu mwaka 2005.
Badiliko hili ni kwa mujibu wa umoja wa makampuni ya Sanlam yenye lengo la kupanua wigo na kuimarisha uwepo wake nchini TanzanianaAfrika Mashariki kwa ujumla.Kwa upande wa wateja, wanahisa, mawakala na wafanyakazi, badiliko hili kuwa Sanlam Life Insurance litaimarisha faida za ushirika zilizojengwa kwa miaka 10 sasa.

No comments:
Post a Comment