HARUSI YA NIAH ALMASI NA JACKLINE BUKUKU WA NSSF MBEYA
Baadhi ya watumishi wa Nssf Mbeya wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya mtumishi mwenzao kupata jiko ,(kushoto)Mr Maige na Khadija Rashidi Shibobo. |
watoto wa madrasa wakisoma dua katika harusi ya Bw.Niah na Jackline nyumbani kwake Block T jijini Mbeya mwishoni mwa wiki..Picha Jamiimojablog. |
Aliyekuwa rais wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA),Omari Ayub akiokoa jahazi kwa kugawa sahani za mpunga (Biliani) |
No comments:
Post a Comment