LEO ni siku yagu ya kuzaliwa CHRISPER MALAMSHA 'Crispa Seve' ambapo leo naadhimisha miaka
kadhaa hapa duniani. Naanza hivi "Sifa na Utukufu anazirudisha kwa Mungu
maana yeye ndie ajauae sababu ya kuniacha hadi hii leo na hakuna nilicho
mpa zaidi ya kumkosea lakini naamini mi bado ni wake siku zote. Pia anashukuru ndugu jamaa na marafiki zangu wote mtaani mpk social network zote Asanteni sana kwa ushirikiano wenu nisameheni pale nilipokukwaza sababu me sio Malaika.Mwisho sijawasahahu wale wasionijua nawaombea wanijue ,Pia nawapenda wote mpk wasionipenda nawaombea kwa Mungu awajalie Amani na upendo.
HAPPY BIRTHDAY TO ME - CHRISPER MALAMSHA
Reviewed by
crispaseve
on
8:44 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment