WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA BANDA LA PSPF,AVUTIWA NA NAMNA WATU WALIVYOHAMASIKA KUJIUNGA NA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI

Waziri Mkuu,
Mheshimiwa Mizengo Pinda akijadiliana jambo na Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa
PSPF Bw. Abdul Njaidi (katikati) na Gasper Lyimo jana alipotembelea banda la
PSPF katika maonesho ya 39 ya sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Mheshimiwa Pinda alifurahishwa na juhudi za PSPF za kuhakikisha idadi kubwa ya
watanzania wanaingia katika hifadhi ya jamii.

Mhadisi Alli Shanjirwa
akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliotembelea katika banda ya PSPF katika
maonesho yanayoendelea katika viwanja vya maonesho ya biashara vya kimataifa
vya Mwalimu Nyerere.

Baadhi ya
wananchi wakipata maelezo kutoka kwa maafisa wa PSPF walipotembelea banda la
PSPF.

Maafisa wa
PSPF Rahma Ngassa (kushoto) na Colleta Mnyamani wakitoa maelezo kwa wateja
waliotembelea banda la PSPF katika
maonesho ya 39 ya kamataifa ya Dar es Salaam, yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Maafisa wa
wakitoa maelezo kwa wateja waliotembelea banda la PSPF katika maonesho ya 39 ya kamataifa ya Dar es Salaam,
yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment