Header Ads

MTIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA MWANGA KUPITIA NCCR-MAGEUZI ,YOUNGSEVIER MSUYA AREJESHA FOMU

Msafara wa Magari na Pikipiki wa mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Mwanga kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi Wakili wa kujitegemea,Youngsevier Msuya ukitoka eneo la Njia Panda kuelekea wilaya ya Mwanga kwa ajili ya zoezi la Urejeshaji wa fomu.
Msafara wa Mtia nia ,Wakili wa kujitegemea,Msuya ukipita katika maeneo mbalimbali ya mji wa Mwanga wakati mtia nia huyo akirejesha fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Mwanga.
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge jimbo la Mwanga kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ,Wakili wa kujitegemea ,Youngsevier Msuya akisalimia wakati msafara wake ukipita katika maeneo mbalimbali ya mji wa Mwanga.

No comments:

Powered by Blogger.