MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA, ANAYEMALIZA MUDA WAKE

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa India Nchini Tanzania, Debnath Shaw, anaye
maliza muda wake wa kazi nchini wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuaga rasmi. Picha na OMR

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Balozi wa India nchini Tanzania, Debnath Shaw, baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es
Salaam, wakati alipofika kwa ajili ya kuaga rasmi baada ya kumaliza muda
wake wa kazi nchini.
No comments:
Post a Comment