RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWAPA FUTARI WATOTO YATIMA

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia na baadhi watoto yatima kutoka
vituo mbalimbali vya malezi aliowaalika kupata futari katika viwanja vya
ikulu-Juni 29, 2015. picha na Freddy Maro .


Baadhi
ya watoto yatima kutoka katika vituo mbalimbali vya malezi mkoa wa Dar
es Salaam wakipata futari katika viwanja vya ikulu.
No comments:
Post a Comment