Bonanza la Masauni Cup Lafana Viwanja vya Mnazi Mmoja Usiku, Kilimani na Mkunazini imeshinda 2--0
Mgeni
raism wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya
Mkunazini iliotowa kipigo kwa timu ya Kilimani mabao 2--0. mchezo
uliofanyika uwanja wa malindi mnazi mmoja
Mgeni
raism wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya
Kilimani iliyokubali kipigo cha mabao 2--0.wakati wa mchezo Bonaza
unaoendelea katika viwanja vya malindi mnazi mmoja usiku.
Kikosi cha timu ya Kilimani kinachoshiriki michezo ya Bonaza Masauni Cup inayofanyika katika viwanja vya malindi mnazi mmoja
Kikosi
cha timu ya Mkunazini kinachotowa dozo katika michuano ya Bonaza Kombe
la Masauni ambocho kimetowa dozi kwa timu ya Kilimani wakati wa mchezo
wao wa pili wa Bonaza hilo ikiwa na pointi 4, baada ya kupotoka sare
mchezo wao wa fungua dimba na timu ya Miembeni, Timu ya miembeni
inaongoza kundi hilo ikiwa na poiti 7
Mchezaji
wa timu ya Kilimani akimpita mchezaji wa timu ya Mkunazini wakati wa
mchezo wao wa Bonaza, uliofanyika uwanja wa malindi mnazi mmoja. timu ya
Mkunazini imeshinda 2--0.
Mchezaji wa timu ya Mkunazini akizuiya mpira kujiandaa kumpita mchezaji wa timu ya Kilimani.
Mchezaji
wa Kilimani akijaribu kumpiga chenga mchezaji wa timu ya Mkunazini
wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Masauni Cup, linalofanyika uwanja wa
Malindi Mnazi Mmoja timu ya Mkunazini imeshinda 2--0
No comments:
Post a Comment