WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI ZA BONDE LA MTO NILE

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Mkutano wa siku mbili
wa Mawaziri wa nchi za bonde la mto Nile kwenye Kituo cha Mikutano cha
Saint Gaspar mjini Dodoma Juni 4, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa siku mbili wa Mawaziri wa Nchi za Bonde la
Mto Nile wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua
mkutano wao kwenye Kituo Cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma
Juni 4, 2015.

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe
(kushoto) wakimsikiliza Dkt. Mohsen Alarabawy (kulia) katika
maonyesho yalikwenda sambamba na Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za Bonde
la Mto Nile kwenye Kituo cha Mikutano cha Hoteli ya Saint Gaspa mjini
Dodoma Juni4, 2015.

No comments:
Post a Comment