Warsha ya kupitia Ripoti ya Takwimu za kemikali zinazokaa kwa muda mrefu katika Mazingira
Sehemu ya Washiriki
wa Warsha ya kupitia Ripoti ya Takwimu za Kemikali zinazokaa muda mrefu katika
Mazingira wakifuatilia hotuba ya Mgeni Rasmi Mhandisi Angelina Madete (hayupo
pichani) katika hafla ya ufunguzi iliyofanyika katika Ukumbi wa Medical Reseach.
Kaimu Katibu Mkuu
Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Angelina Madete (wanne kutoka kulia) akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa Warsha ya kupitia Ripoti ya Takwimu za
Kemikali zinazokaa muda mrefu katika Mazingira. Warsha hiyo ya siku moja
imefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa National Institute for Medical
Research, jijini Dar es Salaam na imehusisha wadau kutoka sekta mbalimbali.
Washiriki wakiwa
katika vikundi wakipitia na kurekebisha Ripoti hiyo
No comments:
Post a Comment