WANANCHI WA MKOA WA LINDI WAJITOKEZA KWA WINGI USIKU WA SHAMRA SHAMRA ZA TWENDE NA MEMBE

Shamra
shamra za kutangaza nia ya kuwania urais zaendelea kunoga mjini Lindi
ambapo leo June 6 kuamkia June 7, 2015 ambapo Mheshimiwa Bernard Membe
atakuwa anatangaza nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania 2015. Wananchi wamejitokeza kwa wingi huku msanii mzee Yusuph
na kikundi cha ngoma ya Deda wakitoa burudani ya kijadi.


Wananchi waliojitokeza katika Shamra Shamra za kumpokea kesho Mheshimiwa Bernard Membe wakati atakapotangaza nia ya Urais 2015.

No comments:
Post a Comment