MAALIM SEIF AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA KIBANDAMAITI, ZANZIBAR
Katibu
Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wafuasi na
wapenzi wa chama hicho katika viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.
Mwenyekiti
wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba akiwahutubia wafuasi na wapenzi wa
Chama hicho katika viwanja vya Kibandamaiti mijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment