Header Ads

WAFANYAKAZI 21 WA KAMPUNI YA KUCHIMBA DHAHABU YA ACACIA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU.

Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya kuchimba dhahabu ya Accacia ,Brad Gordon akiongoza timu ya watu 21 wakiwemo wafanyakazi,marafiki na familia za wafanyakazi wa kampuni hiyo ,kupanda Mlima Kilimanjaro kwa lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuchangia sekta ya elimu
Safari ya kuelekea kilele cha Uhuru,Mlima Kilimajaro ikianza kushika kasi.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Acacia,wanafamilia pamoja na marafiki wa kampuni hiyo wakishuka kutoka katika gari tayari kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro .
Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya Acacia,Brad Gordon akitelemka kuanza changamoto ya kupanda mlima Kilimanjaro kama njia ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia sekta ya elimu nchini.

No comments:

Powered by Blogger.