TFDA WAFUNGA MONYESHO YA UTUMISHI WA UMMA KWA KUWA NA BANDA BORA
Mneja
wa mawasiliano wa Mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) Gaudensia Simwanza
akiwa na kikombe cha ushindi katika maonyesho ya wiki ya utumishi wa
umma leo katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa TFDA wakiwa katika picha ya pamoja wakifurahia kikombe katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
wafanyakazi
wa TFD wakiwa na vyeti pamoja na vikombe vyao vya ushikndi katika
kilele cha maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma yaliyokuwa yakifanyika
katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.PICHA NA EMMENUEL
MASSAKA.
No comments:
Post a Comment