RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA MALAWI KATIKA SHEREHE ZA UHURU WA MSUMBIJI
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Malawi Profesa Peter Mutharika
wakitoka katika uwanja wa michezo wa Machava jijini Maputo Msumbiji
baada ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 40 ya uhuru wa
Msumbiji-Juni 25,2015. (picha na Freddy Maro)




No comments:
Post a Comment