RAIS DK.SHEIN NA UJUMBE WAKE WATEMBELEA KAMPUNI YA MAGARI MERCEDES- BENZ

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(watatu kulia) akiwa na ujumbe wake wakiapata maelezo kutoka kwa Adam
Nowak M.A.Afisa anaehusika na ufundi wakati walipotembelea katika
Kampuni ya Magari ya Mercedes-Benz na kuangalia magari hayo yaliyotayari
kwa kuingia sokoni Mjini Wurzburg nchini Ujerumani,[Picha zote na Ramadhan Othman,]

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) na Mama Mwanamwema Shein (wa pili kulia) akiwa na ujumbe
wake wakiangalia magari ya aina mbali mbali baada ya kupata maelezo
kutoka kwa Adam Nowak M.A.Afisa anehusika na Ufundi wakati
walipotembelea katika Kampuni ya Magari ya Mercedes-Benz na kuangalia
magari hayo yaliyotayari kwa kuingia sokoni Mjini Wurzburg nchini
Ujerumani.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) na Mama Mwanamwema Shein (wa pili kulia) pamoja na Viongozi
waliofuatana nao katika ziara ya kikazi Nchini Ujerumani wakiwa na
ujumbe wake wakiangalia mashine ya gari aina ya Mercedes -Benz na kupata
maelezo kutoka kwa afisa anaehusika na ufundi Adam Nowak M.A katika
kampuni hiyo.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiagana na Adam Nowak M.A. Afisa anaehusika na ufundi wakati
alipotembelea katika Kampuni ya Magari ya Mercedes-Benz akiwa na ujumbe
aliofuatana nao katika ziara ya kikazi nchini Ujerumani katika Mji wa
Wurzburg ambaapo yapo tayari kwa mauzo.
No comments:
Post a Comment