Profesa Sospeter Muhongo atangaza nia ya kuwania Urais
Leo
ni zamu ya Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea
urais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, kurithi mikoba ya Rais Jakaya
Mrisho Kikwete. Profesa Muhongo anatangaza nia yake leo Mjini Musoma,
kwenye Ukumbi wa Open University Hall, kuanzia saa 10 jioni
No comments:
Post a Comment