NHIF YAZOA VIKOMBE VYA UBUNIFU KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA.
Rais
mstaafu Alhaj Ali Hasan Mwinyi akimkabidhi kikombe cha ushindi wa
ubunifu katika maonyesho ya wiki ya utumishi wa Umma, mwakilishi wa
mkurugenzi mkuu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya,Ali Othman katika
maonyesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyofikia kilele leo katika
viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Picha
ya pamoja wakiwa na vikombe vya ushiindi vya ubunifu katika maonyesho
ya utumishi wa umma yaliyofikia kilele leo katika viwanja vya mnazi
Mmoja jijini Dar es Salaam.
wafanyakazi wa NHIF wakiwa na vyeti na vikombe vya ushindi wa ubunifu katika maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma yaliyofikia kilele leo katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment