NAIBU KATIBU MKUU CHADEMA,ZANZIBAR SALUM MWALIM ATUNUKU VYETI KWA WANACHAMA WA CHASO MKOA WA KILIMANJARO
![]() | ||
Naibu
Katibu mkuu wa Chadema Taifa upande wa Zanzibar Salum Mwalimu
akizungumza wakati wa mahafali ya Chaso mkoa wa Kilimanjaro
yaliyofanyika katika shule ya sekondari Majengo.
|
![]() |
| Baadhi ya wanachama wa Chaso kutoka vyuo mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katimsikiliza Naibu katibu mkuu wa Chadema taifa,upande wa Zanzibar Salum Mwalimu wakati wa sherehe za umoja huo. |
![]() |
| Wakili wa kujitegemea Elikunda Kipoko (katikati) akisikiliza kwa makini hotuba ya Naibu katibu mkuu Zanzibar ,Salum aliyoitoa wakati wa mahafali ya kuhitimu kwa wanafunzo wa vyuo vikuu ,wanachgama wa Chaso. |
![]() |
| Mbunge wa Viti maalum Lucy Owenya (Chadema) katikati akiwa na Diwani wa kata ya Longuo ,Raymond Mboya (Kushoto) na kulia kwake ni aliyekuwa katibu wa Chadema wilaya ya Moshi vijijini.Aquiline Chuwa . |





No comments:
Post a Comment