MKUTANO MKUU WA 104 WA SHIRIKA LA KAZI DUNIANI (ILO), GENEVA 2015.

Waziri wa Kazi na
Ajira, Mh. Gaudentia Kabaka (Kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi
Zebadiah Moshi (Kushoto) wakifuatilia majadiliano kwenye Mkutano wa Shirika la
Kazi Duniani (ILO) unaofanyika Geneva, Uswizi. Mada Kuu katika Mkutano huo
ambao umehudhuriwa na wajumbe zaidi ya 2000 kutoka mataifa mbalimbali
ulimwenguni ni Mchakato wa Kurasimisha Sekta Isiyo Rasmi na Mchango wa
Ujasiriamali wa Kati na Mdogo katika Kutengeneza Ajira. Waziri Kabaka
aliuhutubia Mkutano huo tarehe 8 Juni, 2015 chini ya Uenyekiti wa Balozi wa
Tanzania nchini Uswisi Mh. Mero.
No comments:
Post a Comment