LOWASSA ATUA ZANZIBAR
![]() |
Waziri
Mkuu wa zamaninaMbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa, (kulia), akipokewa na
Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini Unguja, Borafia Silima Juma, wakati
alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mkoa wa Mjini, Unguja Jumamosi usiku,
Juni 6, 2015. Mh. Lowassa, yuko Zanzibar
kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na
CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25,
2015. (Picha na K-VIS MEDIA)
|
![]() |
| Mh. Lowassa, akifurahia jambo na Mzee Borafia, mara baada ya kuwasili kisiwani Zanzinzibar, akitokea Mwanza. |
![]() |
| Wazirti Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini, kisiwani Unguja, Zanzibar, Borafia Silima Juma, (kulia), na aliyekuwa Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba, Simai Mohammed Jumamosi usiku Juni 6, 2015 mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar. Mh. Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015 |



No comments:
Post a Comment