Jumuiya ya Wanafunzi Watanzania Wanaosoma Wuhan-China (WUTASA) yaaga wenzao waliomaliza masomo
Jumuiya
ya Wanafunzi Watanzania Wanaosoma Wuhan-China (WUTASA) imefanya sherehe
ya kuwaaga wenzao waliomaliza masomo yao.
Sherehe hiyo ilihudhuriwa pia na Wanajeshi wa Jeshi la Wanachi (JWTZ)
Kikosi cha Maji wanaosoma kozi fupi za uhandisi katika chuo cha jeshi
cha uhandisi kilichopo Jijini Wuhan.




No comments:
Post a Comment