KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA ALIVYOUNGURUMA LEO BUKOBA MJINI.


Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia Mkutan wa hadhara leo,
kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Bukoba, akiwa katika ziara ya kukagua
uhai wa Chama na ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Mkuu
wa Mkoa wa Kagera,Mh.John Mongella akiwasalimia Wananchi na na
Wanachama wapenzi wa CCM,kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya
leo katika uwanja wa Mashujaa,mkoani Kagera.

Baadhi ya Wananchi wakishangilia jambo kwenye mkutano huo wa hadhara.


Wanannchi wakisikiliza kwa makini

Mbunge wa Bukoba mjini Hamis Kagasheki (kushoto) akihutubia wananchi
katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mashujaa
mjini Bukoba mkoani Kagera.

Wananchi
wa mji wa Bukoba mjini na wafuasi wa chama cha CCM wakishangilia jambo
wakati Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye pichani katikati
alipokuwa akizungumza

Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara
katika viwanja vya Mashujaa mjini Bukoba leo, akiwa katika ziara ya
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana mkoani Kagera.

shangwe na shamra shamra zilikuwepo katika mkutano huo
Wanafuatilia kwa makini

Baadhi
ya Wananchi wa Bukoba mjini na vitongoji vyake wakifuatilia yaliyokuwa
yakijiri kwenye mkutano wa hadhara uliokuwa ukihutubiwa na Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Kinana jioni ya leo katika uwanja wa Mashujaa,mjini Bukoba
mkoani Kagera

Anafuatilia hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana jioni ya leo katika uwanja wa Mashujaa,mjini Bukoba mkoani Kagera.
No comments:
Post a Comment