CHADEMA WAIKUNA ARUSHA

Profesor Jay akihamsisha wananchi kujitokeza kwenda kujiandikisha "NDUGU
ZANGU WANA WA ARUSHA NA TANZANIA KWA UJUMLA TUJITOKEZE KUJIANDIKISHA
ILI TUJIHAKIKISHIE UHURU WA KWELI NA SIO MATUMAINI"

Mbuge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari amewataka watanzania
kutambua muda wa mateso waliyoyapata kwa Miaka Mingi sasa yamefikia
ukomo,"Njia pekee iliyobaki ndugu zangu ni kujiandikisha kwenye daftari
la kudumu la Mpiga kura"
Pia ametambulisha AMBULANCE 2 alizo zitoa kwenye jimbo lake
Pia ametambulisha AMBULANCE 2 alizo zitoa kwenye jimbo lake

Mbuge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari akitambulisha AMBULANCE 2 alizo zitoa kwenye jimbo lake

umati wa wananchi waliouthuria katika mkutano huo wa chadema jana jijini Arusha
![]() |
| Mjumbe wa Kamati kuu na Mbunge wa Viti Maalum Mh Grace Kiwelu amewataka Wanawake kuwa Chachu ya mabadiliko kwa Taifa letu."MUDA WA KUDANGANYWA KWA KANGA UMEPITA TUJITOKEZE KUJIANDIKISHA ILI OCTOBER TUPATE UHURU WA UHAKIKA,WANAWAKE TUKIAMUA TUNAWEZA" |


Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema ambaye pia ndiye aliyeteuliwa na Chadema Kanda Ya Kaskazini
kuwa kiongozi wa kampeni za Hamasa ya kujiandikisha kanda ya kaskazini
amewaambia wananchi wa Arusha kuwa safari ndio imeanza sasa kuelekea
majimbo yote 33 ya kanda ya kaskazini kuhakikisha Watanzania
wanajiandikisha kwa wingi ili October tufanye maamuzi sahihi


Mbunge wa Rombo Joseph Selasini" WATANZANIA WENZANGU HUU NDIO MUDA
MUAFAKA WA KILA MMOJA WETU KUJIANDIKISHA ILI IKIFIKA OCTOBER TUWE
TUNAFANYA MAAMUZI YA UHAKIKA NA SIO SAFARI YA MATUMAINI"

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Manyara Mh Pauline Gekul
awatakwa Watanzania kujiandikisha na kuhamasishana kwa wingi wetu kwa
kutumia simu mitandao ya kijamii vikao vya kijamii ili ifikapo October
tuiondoe CCM madarakani.

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Mh Cecilia Daniel Paresso
amewataka Vijana na Akina Mama kujitokeza kwa wingi katika
kujiandikisha ili ikifika October waweze kufanta maamuzi ya UHAKIKA na
sio ya maamuzi ya MATUMAINI
![]() |
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Mh Rebecca Mgodo amewataka
wananchi kusoma nyakati"NDUGU ZANGU MIAKA YA MATESO KWA WATANZANIA SASAS
IMEFIKA MWISHO, TWENDENI KWA UMOJA WETU TUKAJIANDIKISHE KWENYE DAFTARI
LA KUDUMU LA MPIGA KURATUITOE CCM MADARAKANI"-Mgodo![]() Mwenyekiti wa Chadema Kanda Ya Kaskazini Mh Israel Natse akiwaongoza viongozi na Wabunge wa Chadema Kanda ya Kaskazini kuingia uwanjani huku wakiwapungia wanachama na wapenzi wa Chadema waliofika uwanjani vya kilombero (PICHA NA WOINDE SHIZZA) |



No comments:
Post a Comment