Wakazi
wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wakimsikiliza kwa makini Meneja
Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon (wapili kutoka
kushoto ) alipokuwa akiwafafanulia jambo wakina baba hao kuhusiana na
kampeni inayoendelea katika mikoa mitatu nchini ya kuelimisha wakina
baba na wananchi kwa ujumla kuwaruhusu wakina mama wajitokeze ili
wakatibiwe maradhi fistula kwani yanatibika, Inakadiriwa ni wastani ya
wanawake 3,000 hupatwa na maradhi hayo wanapojifungua.Kampeni hiyo
inaendeshwa na CCBRT na Vodacom Foundation.
Meneja …

Meneja
Mawasiliano wa Hospitali ya CCBRT Abdul Kajumul , akiwaelezea wakazi wa
kata ya Nguruka Wilaya ya Uvinza Kigoma waliofika kwenye mkutano na
kupatiwa elimu kuhusiana na kampeni inayoendelea katika mikoa mitatu
nchini ya kuelimisha wakina baba na wanchi kwa ujumla kuwaruhusu wakina
mama wajitokeze ili wakatibiwe maradhi ya fistula bure katika
hospitali ya CCBRT kwani yanatibika, Inakadiriwa ni wastani ya wanawake
3,000 hupatwa na maradhi hayo wanapojifungua.Kampeni hiyo inaendeshwa
na CCBRT na Vodacom Foundation.
Msanii
wa nyimbo za kiasili na Balozi wa maradhi ya Fistula Mrisho Mpoto
akitoa elimu kwa wakazi wa Kata ya Nguruka wilaya ya Uvinza Kigoma,
Kuhusiana na kampeni inayoendelea katika mikoa mitatu nchini ya
kuelimisha wakina baba na wanchi kwa ujumla kuwaruhusu wakina mama
wajitokeze ili wakatibiwe maradhi ya fistula bure katika hospitali ya
CCBRT kwani yanatibika,Inakadiriwa ni wastani ya wanawake 3,000 hupatwa
na maradhi hayo wanapojifungua.Kampeni hiyo inaendeshwa na CCBRT na
Vodacom Foundation.
Umati
wa wakazi wa kata ya Nguruka Wilaya ya Uvinza Kigoma wakiwa kwenye
mkutano wa kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na maradhi ya Fistula
yanayowakabili wanawake hapa nchini,Kampeni hiyo inayoendeshwa na
Hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania kupitia taasisi
yake ya Vodacom Foundation inaendelea kufanyika katika mikoa mitatu
kuwasisitiza wakina baba kuwaruhusu wakina mama wajitokeze ili
wakatibiwe maradhi hayo kwani yanatibika. Inakadiriwa ni wastani ya
wanawake 3,000 hupatwa na maradhi hayo wanapojifungua.
KAMPENI YA KUTOKOMEZA MARADHI YA FISTULA YAENDELEA WILAYANI UVINZA-KIGOMA
Reviewed by
crispaseve
on
7:36 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment