BREAKING NEWSSS MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH ISSA BIN SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA.
MUFTI Mkuu wa Tanzania,
Sheikh Issa Bin Shaaban Simba,
enzi za uhai wake.
Habari hizo zinasema mwili wa marehemu umeondolewa hospitali hapo na kuhamishiwa hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo kungoja taratibu za mazishi.
Kwamujibu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum
amesema kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo pamoja na presha.
Mwili wa marehemu utasafirishwa kesho mkoani Shinyanga kwaajili ya maziko.
Tutaendelea kuwaletea taarifa zaidi
kwa kadri zitapopatikana.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

No comments:
Post a Comment