WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR ASOMA BAJETI YA FEDHA YA MWAKA KWA MWAKA 2015/16 LEO
Waziri
wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee akionesha Mkoba wa Bajeti ya
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 leo
katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa
Zanzibar.
Waziri
wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee akisoma Hutuba ya Mapato na
Matumizi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha
2015/2016 leo katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo
ya Mji wa Zanzibar.
Baadhi
ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia Hotuba ya Waziri wa
Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee aliyokuwa akiisoma kuhusu Bajeti ya
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 leo
katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa
Zanzibar.
Baadhi
ya Waalikwa walioshiriki wakifuatilia Hotuba ya Waziri wa Fedha wa
Zanzibar Omar Yussuf Mzee aliyokuwa akiisoma kuhusu Bajeti ya Serikali
ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 leo katika Ukumbi
wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Picha na
Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment