TRA YAKUTANISHA WADAU KUJADILI SHERIA MPYA YA KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI YA MWAKA 2014 KABLA YA KUANZA KUTUMIKA

Afisa
Kodi Mwandamizi Kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TRA) Bw.
Richard Mwafongo akiwasilishaji kwa Taarifa ya Sheria mpya ya Kodi ya
ongezeko la Thamani ya mwaka 2014 ambapo alisema kuwa moja kati ya
sababu ya kuandaa sheria hiyo ni kuongeza pato la taifa kupitia
makusanyo mbalimbali wakati wa kikao kilichokutanisha wadau mbalimbali
leo jijini Dar es salaam.

Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Rished Bade akijibu hoja
mbalimbali kuhusu Sheria Mpya ya Ongezeko la Thamani toka kwa wadau
waliohudhuria mkutano huo na kuwaasa kuendelea kutoa ushirikiano
kuelekea upatikanaji wa sheria hiyo na hatimaye kuwezesha kuinua uchumi
wa nchi.

Afisa
Mwandamizi Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA) Bw. Hamisi Lupenja akichangia kwenye moja ya maeneo ya
Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014, wakati wa
mkutano uliowakutanisha wadau mbalimbali kujadili maboresho ya sheria
hiyo

-
Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lusekelo
Mwaseba kuendelea kutoa ushirikiano kuelekea upatikanaji wa Sheria hiyo
iliyoweza kutumika popote duniani hasa kwenye nchi zinazoendelea
itayowezesha ukusanyaji dhabiti wa Kodi na hatimaye kuchangia maendeleo
ya nchi.

-
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Rished Bade
akibadilishana mawazo na baadhi ya washiriki wa Mkutano huo uliofanyika
Leo Jijini Dar es Salaam

Baadhi ya wadau wakichangia kuhusu Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014


Baadhi ya wadau wakichangia kuhusu Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014

Baadhi
ya washiriki waliohudhuria Mkutano huo wakimsikiliza Afisa Kodi
Mwandamizi Kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TRA) Bw. Richard
Mwafongo alipokuwa akiwasilisha Taarifa ya Sheria mpya ya Kodi ya
ongezeko la Thamani ya mwaka 2014
No comments:
Post a Comment