SOMA ALIYOONGEA MH. EDWARD LOWASSA WAKATI AKITANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS JANA
#YALIYOJIRI WATANZANIA WANATAKA UONGOZI THABITI WENYE KUFANYA MAAMUZI SAHIHI - LOWASSA.
SOMA ALIYOONGEA MH. EDWARD LOWASSA WAKATI AKITANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS JANA
Mzee Kingunge, Balozi Juma Mwapachu, Prof AnnaTibaijuka ni miongoni mwa watu waliohudhuria #SafariYaMatumaini uwanja wa Abeid Arusha
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Joseph Kasheku maarufu kama Msukuma aingia uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa helkopta
Lowassa: "Leo natangaza nia siombi kura zenu", tayari Mh Lowassa amesimama sasa kuzungumza
Lowassa " Sina shaka tukijipanga vizuri ndani ya @ccm_tanzania tunaweza kuwapa Watanzania mabadiliko wanayoyataka
Lowassa: Watanzania wanataka uongozi wenye uthubutu na usioogopa kufanya maamuzi sahihi, Uongozi thabiti usioyumba.
Lowassa: Watanzania wanataka uongozi wenye ubunifu na upeo mkubwa, uongozi unaojali muda na majukumu yake.
Lowassa "Nimeamua kugombea urais ili kupambana na umasikini, tunazo rasilimali nyingi kinachohitajika ni uongozi imara"
Lowassa: Kiongozi anayetakiwa na Watanzania ni Mwenye kukuza pato la Watanzania, mwenye kuunganisha Watanzania
Lowassa: Kiongozi anayetakiwa na Watanzania ni anayezalisha ajira kwa vijana, kubuni sera na kuzisimamia, kuchapa kazi
Lowassa: Kiongozi mwenye kusimamia mali zetu zisiporwe hovyo hovyo, Kiongozi mwenye kutokomeza rushwa kwa vitendo.
Lowassa: "Safari tumeianza leo na sio siku nyingine, MUNGU ibariki Tanzania, MUNGU ibariki Afrika
Lowassa: "Toka nimezaliwa sijawahi kuona uwanja wa Abeid umejaa kiasi hiki, napenda kuwashukuru wote mliofika hapa".
Kingunge: Kwa niaba ya wazee wenzangu natangaza rasmi kumuunga mkono ndugu Lowassa
Kingunge : "Nimeridhishwa na maamuzi yaliyofanyika Katika mkutano wa halmashauri kuu ya Taifa ya CCM ulioisha".
Kingunge : "Nimefurahishwa sana na msimamo wa Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete". #SafariYaMatumaini

No comments:
Post a Comment