Rais Kikwete akagua ujenzi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM.kulia ni
makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na makandarasi
wanaojenga ukumbi wa kimataifa wa Mikutano wa Dodoma unaojengwa na Chama
Cha Mapinduzi CCM, leo.Ukumbi huu upo karibu na Benki Kuu, njia ya
kuelekea Chuo Kikuu cha Dodoma.
Muonekano wa ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Dodoma.(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment