Rais Kikwete afungua Mkutano Mkuu wa Chama Cha Waalimu Tanzania (CWT)
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano
mkuu wa Chama Cha Waalimu TANZANIA( CWT) uliofanyika katika hoteli ya
Ngurdoto nje kidogo ya mji wa Arusha jana.Wakati wa mkutano huo
wanachama wa CWT ulitarajia kuwachagua viongozi wapya wa chama
Hicho.Akizungumza katika mkutano huo Rais Kikwete ameahidi kutatua
changamoto moto mbalimbali zinazowakabili waalimu nchini(picha na Freddy
Maro).
No comments:
Post a Comment