KATIBU MKUU TAMISEMI, SAGINI ASISITIZA UIMARISHAJI WA ELIMU

Mkurugenzi
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni
(UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kulia) akimweleza yaliyomo
kwenye taarifa ya ripoti ya hali ya Elimu ilivyo dunia (EFA Global
Monitoring Report 2015) “Education For All 2000-2015” ambayo inaonyesha
mafanikio na changamoto kidunia iliyoandaliwa na Shirika la UNESCO
alipomtembelea ofisini kwake Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za
Mikoa na. Serikali ya Mtaa (TAMISEMI), Jumanne Sagini (kushoto) wakati
wa ziara ya kikazi ya siku moja mjini Dodoma ambapo pia alikutana na
wadau wa sekta ya elimu walioshiriki mkutano wa kutathmini sekta ya
Elimu nchini kwa mwaka 2014 uliofanyika katika kumbi za mikutano Chuo
Kikuu cha Dodoma (UDOM).



Mkurugenzi
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni
(UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues akimwonyesha takwimu za
Tanzania zilizomo kwenye ripoti hiyo Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu
Tawala za Mikoa na. Serikali ya Mtaa (TAMISEMI), Jumanne Sagini.
No comments:
Post a Comment