FLAVIANA MATATA FOR NYANDCOMPANY
MWANAMITINDO AFANYAYE KAZI ZAKE ZA UANAMITINDO ALOJIKITA MAREKANI
FLAVIANA MATATA AMEKUWA AKIFANYA KAZI MBALI MBALI ZA KUONESHA MAVAZI
JUKWAANI SAMBAMBA NA HIZI ZA MATANGAZO YA KIBIASHARA YA MATANGAZO YA
MAVAZI NA SAFARI HII AMEFANYA NA KAMPUNI YA NEWYORK AND COMPANY KWA
AJILI YA MAVAZI YA MAJIRA YA JOTO
No comments:
Post a Comment